Saturday, January 21, 2012

"SIO KWA KWELI KWAMBA WASANII WETU AFROKA MASHARIKI ETI HAWAWEZI TAMBA HUKO UGHAIBUNI"
Msanii toka ukanda wa afrika ya mashariki na kati,HEIZAR RHYMZONE akiwakilisha kama anavyoonekana akiwa jukwaani akiwapa kitu roho inataka,...shoo ilipigwa mjini HORDALAND NORWAY,ambako pia msanii huyu yakiwa ndio makazi yake!!...KEEP ITTT UP HOMIE!!

No comments:

Post a Comment