"ZA MWIZI NI HAROBAIN BWANA...SASA SIJUI MTU KAMA HUYU UNAWEZA UKAMTAKIA SAFARI YAKE AENDE MBINGUNI KWA AAMANI???""
Mwili wa mtu aliyetuhumiwa kwa ujambazi wa kutumia silaha,ukiwa katika gari la polisi tayari kwa safari ya mochwali..marehemu aliuwa baada ya kutuhumiwa kufanya jaribio la kupora dhahabu lakini jaribio lake lilishindikana na mwishowe mauti kumkuta.
Kweli za mwizi arobain yaliyomkuta hakutegemea.inaonekana alishashinda sana katika matukio mengi..mwenyezi mungu amsamehe
ReplyDeletekuna mda watu kama hawa wanatakiwa wakipatwa dawa yao iwe hhii hapa..lakini ubinaadamu nao muhimu jaamani nyie!!
Delete