Saturday, January 21, 2012

"DUUH AAMA KWELI MJINI SHULEE...SUPA STAA MZIMA NIMELI
Msanii wa muziki wa kizazi kipya na aliye katika chati kutokana na baadhi ya nyimbo zake kubamba watu,NASSIBU ABDUL almaarufu DIAMOND PLATNUM,alizwa vitu vya thaman na vibaki wakati walipovamia gari lake...kwa fununu zilizotufikia mezani kwetu baadhi ya vitu vilivyoibiwa katika gari la msanii huyo ni BEGI LA NGUO LIKIWEMO NA NGUO ZAKE,SAA PAMOJA NA CHENI ZINAZOSADIKIWA KUWA ZA GOLD,,,..KARIBU MJINI MR PLATNAMU,NDIO UKUBWA HUO!!

2 comments: