Wednesday, January 25, 2012

"AAMA KWELI BIASHARA MATANGAZO..UKIBISHA SHAURI YAKO"
Kijana mmoja asiyefahamika jina lake amekutwa na camera yetu akinadisha na kuuza ugoro kwa bei ya Tsh 500/= kama alivyoandika hapo ukutani...Kwa sasa jijini Dar es salaam na maeneo yake ugoro umekuwa juu saana baada ya kundi kubwa la vijana wakiwa ni watumiaji wa kubwa wa kitu hiko...sasa kama wewe ulijua kuwa ugoro ni kwaajili ya wazee tu haya Kalaga bhaoo!!

No comments:

Post a Comment