"POLE SAANA MAMA,JIKAZE MAMA HAYO NDIYO MAPENZI YA MUNGU SOTE TUNAELEKEA HUKO,MIMI KWA NIABA YA SERIKALI NA WANANCHI KWA UJUMLA TUKO PAMOJA NANYI KATIKA KIPINDI HIKI KIGUMU"
Rais D k Jakaya Kikwete akimpa mkono wa pole mama mzazi wa marehemu Regia Mtema,Catherine Haule katika msiba wa Mbunge huyo wa viti maalum(CHADEMA)Nyumbani kwao Chang'ombe Dar es salaam jana.Kutoka kushoto kwa mama ni pacha wa Regia,Remija,Wa pili kushoto ni mke wa Waziri Mkuu mama Tunu Pinda(Picha na Ikulu)
No comments:
Post a Comment