Tuesday, January 24, 2012

Makamu W Rais Dkt Mohammedi Ghalib Bilali akiongozana na baadhi ya viongozi wa Wilaya ya Pangani mara tu baada ya kuukagua ukuta unaozuia maji ya bahari unaobomoka kutokana na mabadiliko ya tabia nchi.

No comments:

Post a Comment