Friday, January 20, 2012

"JAAMANI HEBU MTUONEE HURUMA SISI AMBAO TUNALEA KAMA HIVI MNAVYONIONA,NATEGEMEA HILI BONDE"
Mkazi wa Lugala,kata ya Igawa tarafa ya Malinyi,Ulanga Mkoani MorogoroBi Elizabeth Kasukari akiwaomba Waziri Wa Nchi Ofisi Ya Makamu Wa Rais(Mazingira)Dk Theresia Huvisa na Waziri wa Maliasili na Utalii Ezikiel Maige(Hawapo pichani)wasiondolewe bonde la Kirombero msimu huu.

No comments:

Post a Comment