"USIMRINGIE NA WALA KUMDHARAU MWENZIO,NA NI KOSA KUBWA DUNIANI NA HATA AKHERA,KUMNYANYAPAA MWENZIO..FANYA HIMA UKAPIME!!
Mshauri nasaha waa kituo cha afya cha Ngamiani Mkoani Tanga,Neema Abasi akisisitiza jambo wakati wa mkutano wa majumuisho ya ajenda za kuelimisha watu wenye ulemavu kuhusu maambukizi ya HIV/AIDS na mikakati ya kuwafikia wengine,Mkutano huo ulidhaminiwa na Hospitali ya CCBRT Dare es salaam.
No comments:
Post a Comment