Tuesday, January 24, 2012

Mkurugenzi Mtendaji W TPDC Bw yohane Kilagane akitoa maelezo kabla ya kusaini mikataba mitatu ya utafiti wa mafuta kwa kampuni za nje hafla hiyo ilifanyika leo (24/1/2012)katika jengo la Wizara ya Nishati na Madini.

No comments:

Post a Comment