Mkurugenzi Mtendaji wa Clouds Media Group,Bw Joseph Kusaga akizungumza machache na baadhi ya waheshimwa wabunge wanawake wa viti maalumu mara baada ya kumaliza mahojiano mafupi kupitia kipindi cha Power Breakfast na Leo Tena katika stesheni ya redio ya Clouds Fm,leo 25/1/2012.
No comments:
Post a Comment