Wednesday, January 25, 2012

Mtangazaji wa kituo cha redio cha Clouds Fm katika kipindi cha Leo Tena,Dina Marios(wa pili toka kulia)akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya wabunge wa viti maalumu,mara baada ya mahojiano machache juu ya harambee ya kuichangia timu ya wanawake ya Twiga Stars,ishinde katika mchezo wake wa marudiano wa kuwania kufuzu Faina za Afrika kwa wanawake dhidi ya Namibia hivi karibuni.

No comments:

Post a Comment