"DKT. JK AWASILI DAVOS TAYARI KWA MKUTANO WA KIUCHUMI DUNIANI"
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akipokelewa na Waziri wa Kilimo,Chakula na Ushirika Profesa Jumanne Maghembe mara baada ya kuwasili Jijini DAVOS USWIS tayari kwa kushiriki Mkutano wa dunia juu ya maswala ya uchumi(PICHA KWA HISANI YA IKULU).
No comments:
Post a Comment