Waziri Wa Nishati Na Madini,William Ngeleja akifafanua jambo mbele ya waandishi wa habari wakati wa uwekaji saini mikataba mitatu ya utafiti wa mafuta kutoka kampuni za nje jijini Dar es salaam,leo Kulia kwake ni Kamishna Msaidizi Nishati(Petrolium na Gas)Bw.Prosper Victus.
No comments:
Post a Comment