"MAKAMU WA RAIS AANZA RASMINI LEO ZIARA MKOANI TANGA"
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Dkt Mohammedi Ghalib Bilali akikata utepe kuzindua rasmi Jengo la Ofisi ya Idara ya maji lililopo Wilaya ya Pangani,alipoanza ziara yake Mkoani Tanga leo(24/1/2012).
No comments:
Post a Comment