"BAADHI YA WADAU WA ZUKU TELEVISHENI WALIOHUDHURIA HAFLA YA UZINDUZI WA TV USIKU WA KUAMKIA LEO KATIKA HOTELI YA GOLDEN TULIP"
Waadau mbali mbali wa wa tasnia mbali mbali zikiwemo filamu,muziki na tasnia nyingine nao hawakuwa nyuma kwani walikuwepo katika uzinduzi wa ZUKU TV uliofanyika usiku wa kuamkia leo katika hoteli ya GOLDEN TULIP Jijini Dar es salaam.
mmh..watu walivyo pendeza sipati picha na huo uzinduzi wake!!
ReplyDelete