Kamishna Msaidizi wa Nishati Kutoka Wizara Ya Nishati na Madini,Bw Prosper Victus akiwa amesimama mbele ya wageni na viongozi pamoja na waandishi wa habari akitoa maelezo wakati wa uwekaji saini wa mikataba mitatu ya utafiti wa mafuta kwa kampuni za nje katika hafla hiyo iliyofanyika katika jengo la wizara hiyo leo.
No comments:
Post a Comment