Saturday, January 21, 2012

"RAIS KIKWETE ANA KWA ANA NA UONGOZI WA CHADEMA USIKU WA JANA"R
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk Jakaya Mrisho Kikwete akiukaribisha ugeni uliomtembelea jana usiku ambao ni kutoka uongozi wa juu wa CHADEMA,juu ya kukaa pamoja na kulizungumzia swala la mchakato wa katiba mpya,(PICHA KWA HISANI YA IKULU)

No comments:

Post a Comment