"HEBU JIFIKIRIE MARA MBILI MBILI,BILA YA HUYU MWALIMU KUKUPA UPEO,AKILI,NA MAISHA MAZURI UNGALIKUWA WAPI??..AAMA KWELI TENDA WEMA WENDE ZAKO...POLE MWALIMU SAADA!!
|
Add caption |
Mwalimu Saada King'ombe akiwa na wanawe chini ya mti karibu na viwanja vya Gymkhana Upanga,Dar es salaam.
No comments:
Post a Comment