Waziri wa Nishati na Madini,William Mganga Ngeleja(KUSHOTO) na Mkurugenzi Mtendaji W Kampuni ya mafuta ya Petrobras kutoka nchini Brazil Bw SamuelBastos de Miranda(KULIA)wakionyesha mikataba waliyoisaini leo katika hafla iliyofanyika Katika Wizara Nishati na Madini.
No comments:
Post a Comment