Sunday, January 22, 2012

"KROOOO...KROOOO....KROOO"SIO KUKOROMA KWA USINGIZI WA KITANDANI AU WA KUKESHA...MMMH HAPANA..HUU NI MZIKI WA TUNGI,BWAX,KILEO,KILEVI,NGUMU KUMEZA=NYAGI.
Mkaka,mbaba,kijana...hiyo sio starehe tena..bali ni karaha,kwako mwenyewe na maudhi kwa wenzako..sasa hapo ukistuka ukawihi kuanza kulia na kuleta zogo umeibiwa,simu yako ya ulionunua laki saba uioni...weweeeeeeeeeeCHEZEEEA NYAGI WEE!!

No comments:

Post a Comment