Sunday, January 22, 2012

"KITU USINGIZI ACHANA NACHO KABISA NA TENA HAKINA ADABU HATA KIDOGO NA USINGIZI HUO HUO UNAWEZA KUKUAIBISHA..LAKINI HUYU NI UCHOVU TU WA KUDAMKIA WATEJA WAKE"
MMHH..jamani usingizi ni starehe moja nzuri sana...lakini pia usingizi japokuwa ni starehe lakini pia hauna adabu kwan unaweza kukuingia kokote ulipo...hebu mcheki mjomba nani..mwenyewe katupia pamba za kiofisa yuko ndani ya usingizi na hapo usikute anaota..ANAMUWAHISHA MTU KIBAHA KWA BODA BODA!!

No comments:

Post a Comment