Sunday, January 22, 2012

" "HABARI NJEMA KWA TASNIA YA HABARI TANZANIA..UZINDUZI WA UJIO WA TELEVISHENI"
Mwenyekiti wa Wananchi Group ambao ndio waanzilishi wa ZUKU TELEVISHENI Bw  Ali Mufuruki akizungumza wakati wa hafla ya uzinduzi wa TV hiyo uliofanyika juzi usiku wa kuamkia jana katika hoteli ya GOLDEN TULLIP jijini Dar es salaam.

No comments:

Post a Comment