Wednesday, January 25, 2012

"GAR LATEKETEA KWA MOTO KATIKA JENGO LA AMANI PLACE LEO ASUBUHI HII"
Askari wa kikosi cha zima moto wakishirikiana na walinzi wa jengo pamoja na wananchi wakilitoa gari hilo nje baada ya kuteketea kwa moto tukio hili limetokea leo hii.Chanzo cha moto huo bado hakijajulikana.

No comments:

Post a Comment