Tuesday, January 24, 2012

"WAZIRI NGELEJA ASAINI MIKATABA MITATU YA UTAFITI WA MAFUTA"
Waziri wa Nishati na Madini William Ngeleja(katikati)akisaini mkataba wa utafiti wa mafuta nchini kwa kampuni tatu toka nje,Kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa TPDC Bw Yohane Killagane na Kulia ni Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya MatherlandIndustries kutoka India Bw V.K Sood.(Kulia)Mkataba huo umewekwa saini leo katika Jengo la wizara y Nishati na Madini.

No comments:

Post a Comment