Tuesday, January 24, 2012

"NAIBU KATIBU MKUU WIZARA YA KAZI NA  AJIRA ALIYEMALIZA MDA WAKE AAGA RASMI"
Waziri wa Kazi na Ajira,Gaudentia Kabaka(kulia) akiongea jambo na aliyekuwa naibu katibu mkuu wa Wizara ya Kazi na Ajira Bibi Edina Mangesho(mwenye miwani)wakati naibu katibu mkuu huyo alipokuwa akiaga rasmi baada ya kumaliza muda wake wa utumishi wa umma(kustaafu)anayeshuhudia ni katibu mpya wa wizara hiyo Bw Eric Shitindi.

No comments:

Post a Comment