"wadau wa soka wazungumzia mwenendo wa club ya kabumbu(YANGA AFRICAN)baada ya kuanza kwa kusua sua katika mzunguko ama duru ya pili ya ligi kuu vodacom"
Kikosi kamili cha wana jangwani kilichoanza mzungu wa pili wa ligi kuu kwa kukubali suluhu ya 2-2 na Moro United hapo jana.wadau wa soka waitabiria mwisho mbaya endapo wataendelea na mwendo wa kusua!!
No comments:
Post a Comment