Saturday, January 21, 2012

"SAFARI NJEMA MASHUJAA WETU AMANI YA BWANA IWE NANYI KATIKA KILA HATUA MPIGAYO"
Mashujaa wetu wakiupeleka mwenge wa uhuru katika kile kilele cha mlima mrefu kuliko yote barani afrika yaani mlima kilimanjaro...kiukweli hili ni tukio la kujivunnia na ni la pili kihistoria kuwahi kutokea..kwani la kwanza liliwahi kufanyika hapo mwaka 1961 na lilifanywa na hayati,SHUJAA,ASKARI SHUPAVU,MZEE NYERENDA!!

No comments:

Post a Comment