Saturday, January 21, 2012

"KAMWE HATUWEZI KUWASAHAU WAZEE WETU MUHIMU MLIOSHIKAMANA MPAKA KUTUWEKA HAPA TULIPO,POKEA HII"
Rais Jakaya Kikwete akimtunuku tuzo ya nishani Mke wa baba wa taifa Mama Maria nyerere..katika sherehe za kusherekea miaka hamsin ya uhuru wa Tanzania,zilizofanyika katika viwanja vya Ikulu.

No comments:

Post a Comment