Saturday, January 21, 2012

"PIGA,UA,KAMATA...FANYA UTAKAVYO PENYE HAKI WEKA HAKI"
Hapa sio kwa AL-ASAAD huko SYRIA hapana hapa ni pale chuo cha cha afya na udaktari MUHAS..baadhi ya wanafunzi walianzisha timbwili katika mahafali ya wanafunzi wenzao hapo chuo kwao..HIVI UKIJIULIZA INAWEZEKANA KWA WASOMI KAMA HAWA KUKURUPUKA TU NA KUANZA VURUGU BILA YA KUWA NA SABABU YA MSINGI???..

No comments:

Post a Comment