Saturday, January 21, 2012

"
Msanii wa tasnia ya filamu hapa bongo,ELIZABETH MICHAEL almaarufu LULU mwenye blauzi nyeusi amefungua kinywa chaake baada ya kukaa kimya kwa mda na kutamka kuwa yeye na DIANA (muigizaje mwenzake toka kushoto aliyevaa gauni cha pink)kuwa wao ni marafiki walioshibana na wala sio ndugu kama watu wengi wanavyodhani.ukaribu walio nao ni wameshibana tu.

No comments:

Post a Comment