Saturday, January 21, 2012

"
Madiwani wa Chama Cha Mapinduzi (CCM)wilayani Pangani Tanga wamesema hawana haja ya kuongezewa posho kutokana na kazi wanazofanya kisheria kuwa ni zakujitolea kama ilivyoidhinishwa kisheari...MUNGU AAWAJAALIE MIOYO HIYO HIYO YA KUTOKUWA NA TAMAA,SIJUI MLIKUWA WAAPI KUSHIKA NAFASI HIZI ZA HAWA MAFISADI PAPA!!

No comments:

Post a Comment