Tuesday, January 24, 2012

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano Wa Tanzania Dkt Mohammed Ghalib Bilali akiangalia kwa makini ukuta unaozuia maji ya bahari katika eneo la Pangani,Kivukoni unaozidi unaobomoka kutokana na kujengwa miaka 100 iliyopita.

No comments:

Post a Comment