Makamu wa Rais Dkt,Mohammed Ghalib Bilal,Waziri Mkuu Mizengo Peter Pinda na Makamu wa Rais wa pili wa Zanzibar Balozi Seif Idd wakitoka katika ukumbi wa Hoteli ya blue-pearl ubungo plaza jijini Dar es salaam leo 28/1/2012.Kuhudhuria kikao cha Kujadili Muungano.
No comments:
Post a Comment