"JAMANI NDIO MUONE HIVI NCHI YETU ILIVYO NA DEMOKRASIA,SWALA KAMA HILI LA KATIBA SIO LA CCM PEKE YAKE NI LETU SOTE,ELEWENI HIVYO"
Rais Kikwete akipokea mapendekezo ya chama cha NCCR-MAGEUZI juu ya mchakato wa katiba mpya toka kwa katibu mkuu wa chama hicho Mh,James Mbatia alipokutana na uongozi wa chama hicho jana Ikulu jijini Dar es salaam.
No comments:
Post a Comment