"AJALI YA GARI LA POLISI WALIOKUWA KATIKA MSAFARA WA MAKAMU WA RAIS MKOANI TANGA"
Askari wa kikosi cha kutuliza Ghasi FFU Mkoani Tanga wakipata msaada wa kuvutwa na wananchi wa kijiji cha Nduu,Mombo kutoka kwenye bonde baada ya gari lao kuacha njia na kupinduka kuelekea bondeni wakiwa kwenye msafara wa makamu wa Rais,Dkt Mohammed Ghalib Bilal hapo jana.
No comments:
Post a Comment