Rais wa Jamhuri wa Muungano W a Tanzania Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akijadiliana jambo na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano Wa Kimataifa Mhe.Bernad Membe na Waziri wa nchi Ofisi ya Rais Zanzibar (Fedha na Uchumi)Dr Mwinyihaji Makame Mwadini katika mkutano wa 18 wa umoja wa Afrika Mjini Adis Ababa Ethiopia leo.
No comments:
Post a Comment