Wednesday, January 25, 2012

"NANI KASEMA NI MBAGALA PEKEE NDIO KUNA USUMBUFU AMA TAABU YA USAFIRI??"
Dada,mama..mmoja alikutwa na kamera hii..akiwa shapu,ngunguri,shujaa,fasta...akigombea usafiri...haya wasemaje jee hii gari ukiiangali inaonyesha inapita njia gaani???..maana mlizoea ya mbagala tu yawengine hamuyaoni?

No comments:

Post a Comment