Sunday, January 22, 2012

"MWILI WA ALIYEKUWA MBUNGE WA ARUMERU JEREMIAH SUMARI UKIWASILI KATIKA VIWANJA VYA KARIMJEE TAYARI KWA KUAGWA"
Mwili wa aliyekuwa Mbunge wa Arumeru Jeremiah Sumari ukiwasili katika viwanja vya Karimjee jana kwaajili ya viongozi wa kitaifa na wananchi kwa ujumla kutoa heshima zao za mwisho.

No comments:

Post a Comment