Saturday, January 21, 2012

"HAYA MNAOJIFANYA GAME LA MUZIKI WA KIZAZI KIPYA NI LENU SASA KAENI CHONJO BIBI HUYOO KAINGIA STUDIO"
Msanii mkongwe Bi Mwanahija Cheka au kama anavyojulikana kisanii kama"bibi cheka"asiyejulikana sana katika medani ya muziki amejitosa kuimba muziki wa kizazi kipya na ameshaingia studio na kurekodi wimbo wake uitwao:NI WEWE"

No comments:

Post a Comment