Saturday, January 28, 2012

Wananchi Na Viongozi wa Serikali wakiangalia ajali hiyo mbaya ya gari la polisi lililokuwa katika msafara wa Makamu wa  Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Dkt Bilal..ajali hiyo ilitokea jana katika eneo la Nduu Mombo na kupoteza Askari wawili na kueruhi wanne wa kikosi cha kutuliza Ghasia .F.FU.

No comments:

Post a Comment