Saturday, January 21, 2012

"
Rais Kikwete akiteta jambo na Mwenyekiti wa NCCR-MAGEUZI Mh James Mbatia mara baada ya kumalizika kwa kikao cha majadiliano kuhusu mchakato wa kuundwa kwa katiba mpya kilichofanyika jana Ikulu jijini Dar es salaam.

No comments:

Post a Comment