Saturday, January 28, 2012

"MSD YAIPA TAFU TWIGA STARS"
Mkurugenzi wa shughuli za kanda za masharikiwa bohari ya dawa(MSD),Lucy Nderimo( Kushoto)akiimkabizi katibu mkuu wa shirikisho la soka nchini(TFF),Bw Angetile Osiah hundi yenye thamani ya shilingi milioni kumi ikiwa ni msaada kwa timu ya soka ya wanawake ya Twiga Stars.

No comments:

Post a Comment