Friday, January 20, 2012

"""
Kumbe sio kwa wakubwa tu hata watoto nao hawako nyuma kiviiile katika kitu usharobaro..hebu mcheki dogo CHIDY BWOI wa maeneo flani ya kitaa cha ilala sharifu shamba akiwa amechili katika pozi lake huku kichwani ana kapelo lake akiwakilisha crew ya YOUNG MONEY CA$H MONEY BILLIONAIRES(YMCMB)...haha BAAAAB KUBWA DOGO CHIDY BWOI!!

1 comment: