Saturday, January 28, 2012

Viongozi wa Serikali na Wanachi wa kijiji cha Nduu,Mombo wakitafuta njia ya kuwatoa askari wa kikosi cha kutuliza Ghasia F.F.U,mara baada ya gari lao lenye namba za usajili PT 2000 Kupinduka wakati wakiwa katika msafara wa makamu wa Rais,Dkt Mohammed Ghalib Bilal iliyotokea jana mpakani mwa Wilaya ya Lushoto na Korogwe.

No comments:

Post a Comment