Monday, January 23, 2012

"GALILEO WAZINDUA HUDUMA MPYA YA KUUZA TIKETI ZA NDEGE"
Mkurugenzi Mkuu wa zamani wa Galileo Tanzania,Mwalim Ally akibonyeza kitufe tayari kwa kuashiria uzinduzi wa huduma hiyo inayomuezesha wakala kuuza tiketi kwa urahisi,..hafla hiyo ilifanyika katika ukumbi wa J.B BELMONTE SELOUS,QUALITY CENTER,JIJINI DAR ES SALAAM.

No comments:

Post a Comment