KARIBU KATIKA ULIMWENGU MPYA WA HABARI,BURUDANI,MICHEZO,MATUKIO NA HARAKATI(PILIKA) ZA KILA SIKU ZILIZOPO KATIKA MAISHA YA KILA..UNGANA NASI
ASANTE NA KARIBU SANA!!
Friday, January 20, 2012
"NANI AENDE KUKAA SHAMBA WAKATI MJINI KUNA VIWANJA BWERERE,KWA TAARIFA YENU HATOKI MTU HAPA"
Maisha yanaendele kama kawaida,na hii uionayo ndio hali halisi ya maeneo ya jangwani,kama wanavyoonekana wakaazi wa eneo hilo wakifanya usafi vitu vyao tayari kwa kurejea katika eneo walilopigwa marufuku.
No comments:
Post a Comment