Saturday, January 21, 2012

Haya kama ulizoe kukemewa kuwa usinywe na kuendesha gari sasa ona hii ilivyo kali..rubani sijui wa ndege gani maskini weee..kavamia mziki wa GONGO mwisho wa siku faida yake ndi hii...puuuuuuuuuuuuuuuuuuuuh..katika mwaarobain!!
""

No comments:

Post a Comment