Sunday, January 29, 2012

"DKT JAKAYA AWASILI ADIS ABABA ETHIOPIA TAYARI KWA MKUTANO WA UMOJA WA AFRIKA UTAKAOANZA LEO"
Rais Jakaya Kikwete akiwasili katika makao makuu ya Umoja wa Afrika leo mjini Adis Ababa tayari kwa mkutano wa 18 wa Umoja wa Afrika utakaoanza leo,Toka (KUSHOTO)Ni Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mhe,Bernad Membe.

No comments:

Post a Comment